Mtangazaji wa TBC, Florence Dyauli afariki dunia.
Mtangazaji wa TBC Florence Dyauli amefariki dunia leo asubuhi
jijini Dar es Salaam. Florence ni mwandishi wa habari wa muda mrefu.
Alikuwa mtangazaji wa RTD sasa TBC Taifa na ni mmoja wa watangazaji
waanzilishi wa TVT (Televisheni ya Taifa) sasa TBC1.
Florence alisifika kwa kudhibiti matamshi ya maneno wakati akisoma
taarifa za habari pia alikuwa mtangazaji mahiri kwa matangazo ya nje –
OB (Outside Broadcasting)
Mipango ya mazishi inaedelea Dar es Salaam. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Florence Dyauli mahali pema peponi. Amina.

0 comments:
Post a Comment