*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Thursday, 5 March 2015

    Stori nyingine kubwa ya teknolojia duniani leo ni hii saa ya HUAWEI! hawajashindwa kitu

    Huawei watchKwa zaidi ya siku tatu mtu wako wa nguvu nimekuwepo hapa Barcelona Hispania kuhudhuria maonyesho ya kiteknolojia duniani ambapo makampuni mbalimbali na makubwa ya dunia yamekusanyika kuonyesha ukali wao kwenye maswala ya digital.
    Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa.
    Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya.
    huawei 5Kingine kikubwa nilichopenda ni kwamba ina uwezo wa kukutelea taarifa mpya kila wakati kama umepata msg Facebook, kwenye email na mitandao mingine ya kijamii.
    Hizo ni baadhi ya sifa zake tu.
    huawei 4
    huawei 3
    Inapatikana katika muonekano tofauti kama inavyoonekana hapa.
    huawei 2

    0 comments:

    Post a Comment