*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Wednesday, 8 April 2015

    Posted by EAST AFRICA TELEVISION
    Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki na dansa wake Super Nyamwela wamerudi kujiunga rasmi na Bendi ya Twanga Pepeta leo na kutambulishwa kwa wanahabari katika mkutano uliofanyika leo Kinondoni jijini Dar.

    Kumbuka hii si mara ya kwanza kwa Ali Choki kurudi na kutoka katika bendi hii ya Twanga Pepeta, Je, unahisi safari hii atadumu kweli?

    0 comments:

    Post a Comment