*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Wednesday, 8 April 2015

    R.I.P-Wakenya walivyohitimisha maombolezo ya watu waliofariki Garissa (PICHA).


    jobree
    Jana April 7 ilikuwa siku ya tatu ya maombolezo baada ya shambulio la kigaidi Chuo Kikuu cha Garissa Kenya, watu waliweka misalaba na mishumaa katika viwanja vya Nairobi kuwakumbuka wanafunzi 148 waliouawa katika shambulio hilo.
    f8bc126e4b4e168ed11b0dWanafunzi wa Chuo cha Garissa walifanya maandamano  Nairobi wakiwa na ujumbe kuishinikiza Serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi.image
    Zaidi ya watu 2000 walikusanyika kulaani mashambulizi hayo huku Mahakama kuu ikitoa mwezi mmoja kwa Polisi kuwahoji watu sita waliokamatwa mpaka sasa kwa kuhusika na tukio hilo ambapo kati yao anatajwa kuwepo Mtanzania mmoja.
    Kenya imefungia account za Benki za watu 86 ambao wanahisiwa kukisaidia Kikundi cha Al-Shaabab.
    Kenya II
    _82171915_82171727
    Kenyans hold vigil to mourn Garissa victims
    images (1)
    _82130967_82130966
    08b048ce1b744b2c9e1ddd84e968c01a-6cf1e1f3a028020f730f6a7067008cdc_article
    f2304f61a62cf601cab47ed235fc647617553a5a

    0 comments:

    Post a Comment