
Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone au gadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.
Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho
imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli
inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia
hii huongeza usalama zaidi.

Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia? Cheki pichaz na Video halafu nitafurahi kama ukiniandikia chochote.
![]() |
Hii ndio lock yenyewe ya eGeeTouch. |


Angalia hapa jinsi APPs hii inavofanya kazi.......
0 comments:
Post a Comment