*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Thursday, 8 January 2015

    Kuna hii taarifa ya Askari aliyejiua ndani ya ghala la Silaha


    Police Line
    Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Mbozi, Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya ghala la kuhifadhia silaha katika kituo hicho.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi amethibisha kutokea kwa tukio hilo saa tisa usiku wa juzi kuamkia jana ambapo Askari huyo alikuwa lindo katika chumba hicho cha silaha.Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini chanzo hasa cha tukio hilo.

    0 comments:

    Post a Comment