Headlines kubwa za leo zinatoka nchini Marekani ambako dakika chache zilizopita Rais Barack Obama ametangaza kuhalalishwa kwa ndoa za jinsia moja katika majibo yote 50 ya Marekani.
Kuanzia leo mtu yoyote anaeishi Marekani na
alie kwenye mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja ana haki zote za
kisheria kuingia katika ndoa na mpenzi wake, na haki hii itakua sawa
kama vile ilivyo kwa watu wenye mahusiano ya kawaida ya kimapenzi.
Maamuzi haya yametokana na raia wengi wa Marekani kupiga kura kuipinga
sheria ya awali ambayo ilikua imehalalisha ndoa hizi kwa majimbo
machache kwa kudai kua kitendo hiki ni ubaguzi wa haki na kinaenda
kinyume na katiba ya nchi inayosema kila Mmarekani ana haki sawa.
Awali, majibo 36 kati ya majimbo 50 yalikua yamehalalisha ndoa hizi huku mashoga wengi walikua wakionekana kupendelewa kuliko mashoga wa kike.
Hizi ni baadhi ya tweets alizo zipost Rais Barack Obama kwenye Twitter leo kutangaza sheria hii mpya.
0 comments:
Post a Comment