*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Thursday, 2 April 2015

    Breaking News; Jengo la Ghorofa Sita limeanguka Roysambu Kenya.

    Taarifa kutoka Nairobi, Kenya zinasema Jengo la Ghorofa sita lilokuwa kwenye Ujenzi limeanguka huko Roysambu, Jijini Nairobi ambako mpka sasa hakuna ripoti iliyotolewa kuhusu majeruhi wala kifo cha mtu. hizi ni picha kutoka eneo la tukio


    0 comments:

    Post a Comment