*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Friday, 20 March 2015

    Je..? Wajua Dodoma nzima itakua MATEI LOUNGE siku ya Kesho na Je? Unajua utapata vipi Tiketi ili kuingia katika SHOW...soma hapa

    Je....?Wajua ticketi katika show itakofanyika ‪#‎MATEI_LOUNGE‬ ya ‪#‎WEUSI‬ wakiwa na ‪#‎BEN_POL‬ & ‪#‎KHADIJA_KOPPA‬ Siku ya kesho Tarehe 21/03/2014 zitauzwa ‪#‎MLANGONI‬?....Fanya kama unawahi ili usije kukosa ‪#‎TICKET‬ Zitaanza kuuzwa kuanzia mida ya ‪#‎SAA_12‬:30 JIONI.....kwaniaba ya Management nzima ya ‪#‎NEW_MATEI_LOUNGE‬ tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa wale wote watakaokuwepo.... na kutuunga mkono katika hiyo Show. ‪#‎See_More____‬ www.dompromo.blogspot.com
    Hapa BEN POL kule WEUSI na Khadija Koppa

    0 comments:

    Post a Comment