*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Friday, 20 March 2015

    BREAKING NEWS..... Abiria wapatao 65 wamenusurika #KIFO

    Posted by CloudsTV

    Hiyo ni baada ya uhodari wa dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria na wafanyakazi wa Bus hilo. Majeruhi watano (5) wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya.
    Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48. Ashukuliwe Mungu kwa kumpa dereva ujasiri huo.

    0 comments:

    Post a Comment