*Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania* >>>>>>> *Pata habari zote za hapa mjini Dodoma (Capital City) na nyinginezo kutoka MIJI mbalimbali hapa Tanzania na nje ya Tanzania*

  • Thursday, 22 January 2015

    Haya sasa mengine ya mkanda unaojifunga wenyewe kiunoni…



    20140104_ces-unveiled_0096Hizi teknolojia zinatupeleka mbali sana kiukweli, kupitia millardayo.com ni juzi tu kulikuwa na story ya viatuvinavyojifunga kamba, leo kuna huu mkanda, huna haja ya kuulegeza ama kuukaza, hayo yote unafanya wenyewe.
    IMG_7136.0
    Mkanda huo uliobuniwa Paris unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya kuuweka sawa, utakaa wenyewe size sana na kiuno kilivyo, au unapokaa chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo mtu wangu.
    Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES), hawajasema ni lini utaingia sokoni lini na kuuzwa bei gani.
    246B8EA000000578-0-image-a-28_1420475576899
    bpci64mva3keyigwwxmt
    Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.


    belt
    belty-2
    belty3
    IMG_7145.0
    neb62kkoi9tjhknolitn

    0 comments:

    Post a Comment