Kamanda wa Polisi Morogoro, Leonard Paul akionesha milipuko hiyo iliyokamatwa. |
Baada
ya taarifa kuenea mitandaoni kwamba kuna tishio la baadhi ya maeneo
Tanzania kuvamiwa na kushambuliwa na magaidi.. tahadhari zimetolewa watu
kuwa makini na matukio ambayo yana dalili za matukio ya aina hiyo,
lakini taarifa ambayo imeripotiwa kutoka Morogoro muda inahusu ishu ya
watu kukamatwa wakiwa na milipuko.
Watu waliokamatwa na milipuko hiyo wako
tisa ambapo Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata wote wakiwa ndani ya
msikiti uliopo Kidatu, Kilombero Morogoro.
0 comments:
Post a Comment